Categories
Link News 4 Lyrics Widget 2

Do You Love Zidi!! : Here Are All The Lyrics Of Songs By “Zidi The Band”

zidi band post

 1. Mama Uwe

I desire that everyone in Africa

Asimame achukue nafasi yake

Aseme mimi ni Mwafrika, I am proud to be African

It’s time for Africa to arise

Chorus

Mama uwe uwela

Mama uwe

Natamani kila mtu hapa Africa

Afahamu, kwamba wakati umefika

Ajipende ajisifu ajikaze afaulu

It is time for Africa to shine

 1. Motisha

Usiku ukawa mnono, nalo giza totoro

Mawingu yafunika jua, Mwangaza nikawa siuoni tena

Maisha nasongamana, Nami wala sikati kiu

Mola anitia nguvu, jJamvi langu silikunji eh

Chorus

Motisha yangu ni moja, motisha yangu anipa Yesu

Motisha ya maisha ni moja, Motisha yangu ni Yesu

 

Gerezani nikawa nalala, Nafsi yangu yazidi kuzorota

Moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu, Nabado sijatia shaka

Niliaminilo basi ni hili, Aliyeanza kazi njema moyoni mwangu

Yu radhi kuimaliza X2

 1. Mwanga

Hiye eeh, Hiye eeh heee X2

Haringihe, kirengibihe,

Wakwibazukhunu, Wagheza ugeze

Ware bidjoro, Richuraburindi hooo

Bjiringiro bjawe,

Byose biga senyoka

(Hashobora gucha X2)

Nimekaa hapa siku nyingi sana, matatizo ya dunia yanikera sana,

Hebu niambie, kutakucha tena, tena, tena?

Chorus

Mwanga utakuja, janga litaisha X2

 

Nyakati zinasonga, ninangoja hapa aah

Katika nyika hii,

Nina- nyauka, kama ua moyoni mwangu

Ninajua utakuja mbona bado sikuoni (sikuoni) X2

Chorus

Nimekaa hapa siku nyingi sana, matatizo ya dunia yanikera sana, sana haa oooh

Hebu niambie, kutakucha tena, tena, tena?

If you hold on, if you stand strong,

You will see the light as it comes to guide you X2

Hiye eeh, Hiye eeh heee X2

Hashobora gucha (brighter day is coming) X4

Chorus

 1. Child don’t falter

Get off the boat, child don’t falter

Keep your eyes on me have faith I’m your God

Usiangalie kando, mawimbi na upepo

Hayatakudhulumu you just come

 

I am weary, I’m weak and heavy laden

I’m looking for someone to set me free,

Looking for someone to carry me

And take this load from me

The storm is raging, it’s rocking up my boat

Master please don’t turn away from me

With open arms, here I come

I hope this time I will make it through

Chorus

Where is my faith, to get me off this boat

One step forward gets me three steps back

The storm is weighing me down, master please, Take my hand

Erase my doubts, erase my fears and my worries,

I believe that you are mighty to save

This battle it all belongs to you, build a bridge that will bring me to you

Chorus X2

 

Get off the boat, have faith in God X2

 1. NIWE

Imani yangu kwako yajaa

Baada ya muda ninaotenga, kuwa na wewe

Sijui mwigine anayenifaa, Ila wewe, Ila wewe

Wengine wanatumainia rafiki zao,

Wengine wanatumainia nguvu zao wenyewe

Wengine wanatumainia ooh mipango yao,

Lakini mimi nitakuamini wewe

 

Chorus

Ni we X4

Ni we pekee

 

Maneno unayoniambia, tukiwa pamoja

Pale pahali petu pa siri

Yananitia nguvu wakati mi mnyonge,

Yanionesha njia, ya kuelekea aah

Naona ni wewe tu

 

 1. KIUMBE KIPYA

Penye maji matulivu wanilaza, Mola, nakutamani zaidi

Nipe nguvu, ili nipae angani

Kama ndege warukavyo

Chorus

Eeee unijaze kwa roho wako

Eee eee pumzi yako inizingire eeeh

Niwe kama kiumbe kipya X2

 

Nifikapo mahali penye mabonde, Mola, mkono wako wanishika

Waniandalia, meza mbele ya adui

Nitaishi kwako milele

 

Chorus

Nifinyange X2

Niwe kama kiumbe kipya, Nifinyange

Nifinyange X2

Unifanye kiumbe kipya, nifinyange

Chorus

 

 1. Breathe

Taabu tena shida zanizunguka, maisha ya balaa,

Watu washangaa

Ninangoja, pumzi ya uhai kutoka kwako X2

I am weary, I’m tired of this valley

Won’t you come and give me life (life)

I am weary, I’m tired of this valley

Won’t you come and give me life

 

Chorus

Breathe again, breathe again give me life X3

Live, live

 

Just one touch of your love is all I need (love is all I need)

You need to let me know, can these dry bones live

I’ve been waiting, waiting for a while and it is time X2

I am weary, I’m tired of this valley

Won’t you come and give me life (life)

I am weary, I’m tired of this valley

Won’t you come and give me life

Chorus

 

Moyo wangu wakutamani,

Nafsi yangu yaona kiu

Moyo wangu wakutamani, oh breathe again, give me life

 

Breathe again, breathe give me life X3

Live, live

 

Pumzi Baba

Pumzi yako, uhai wangu baba (Pumzi Baba)

Nguvu inayonitoa mashakani (Pumzi Baba)

Uwezo mpya wakati ni mnyonge (Pumzi Baba)

Pumzi yako oh, pumzi yako oh (Pumzi Baba)

Sitoki hapa bila pumzi yako (Pumzi Baba)

Please help me breathe (Pumzi Baba)

Breathe again, breathe give me life

 

 1. Mashaka

Uwe uwe, uwelelelele X2

Uwelelelele, Lelelele

 

Mashaka yananikumba,

Sina tena wa kumwita jamaa

Adui wananiandama (Baba Baba je waona haya?)

Pakuenda sina mbele nyuma,

Hakuna njia ninatatizika, ninatatizika,

Hakuna njia ninatatizika

 

Rafiki kaniambia yakwamba

Nikikulaani nazo balaa

Yatanikoma, lakini mimi nimeshaamua

 

Chorus

Mimi siachi neno la Bwana X2

Aaah, siliachi

 

 1. Coming home

Now I’m coming, I’m coming back home

Narudi nyumbani,

Maisha ya nje yanifadhaisha sana

 

Asubuhi moja, nilijitokeza nje

Nikamwambia Babangu, naenda kujitembeza

Akanena ngoja, mwanangu nje ni shida

Sitoweza kuwa nawe, kando yako safarini

But in stepped out into the world,

Where they told me that it was bliss in the land of shining lights

 

Chorus

When I arrived, in the city of shining lights

I got the shocker of my life, there were no lights to behold

Nikawa nalia, amani siipati tena

Babangu nikakumbuka, anipenda ingawaje

 

Chorus

 

I take a step, sometimes I fall,

More times I crawl, less times I walk,

But I know I’m moving on the road to nyumbani

 

 1. Namkimbilia

I’ve been so far, so far from you, Jesus

I’ve tried so hard apart from you

And I’ve been wondering what to do

I’ve been so far, so far from you, Jesus

I’ve tried so hard apart from you

And I’ve tried and tried and failed

Lord I’m nothing without you

 

Chorus

Namkimbilia eeh Bwana, ninamrudia

Namkimbilia eeh Bwana, penzi langu

 

Ewe Bwana niokoe, nafsi yangu yazama

Katika matope mengi, siwezi simama

Chorus

Penzi langu X2

And I’ve tried and tried and failed

Lord I’m nothing without you

Chorus

Kimbilia eeh Bwana

 1. Kivulini

Kivulini mwako Baba, nitajificha ewe Bwana

 

Kivulini mwako Baba, nitajificha ewe Bwana ili nisipotee

Tumaini langu Baba, naliweka kwako Bwana, ili nisiaibike

 

Kwako Baba, najileta, kwani wewe ndiwe jiwe lisilotingisika

Kwako Baba najiweka, nisiaibike hapa duniani

Kwenye mwamba (nasimama)

Kwenye mwamba (najificha)

Ndiwe mwamba, ni salama

 

Chorus

Marafiki kanizingira kote

Lakini hakuna ambaye aliyeweza nisaidia

Kwako baba, najiweka, nisiaibike hapa duniani

Kwenye mwamba (nasimama)

Kwenye mwamba (najificha)

Ndiwe mwamba, ni salama

Chorus

Categories
Lyrics

Lyrics : Pamoja By Zidi The Band

zidi band1

Here are the Lyrics Of Pamoja By Zidi The Band

Skiza bwana mkubwa wapiga domo bure. (buree)

Tembeza gari lako hadi kule ukaone. (ukaone)
Mipaka yateketea, jirani wahofia,
Ya kwamba tutaangamizana ukiangalia.

Tunaomba utusikize eh eh
Sisi Wakenya kutoka kotee X2

Nipe amani, nipe amani, nipe amani ili tuishi pamoja X2

Mbona wachochea mbona wakubalia,
Kutumika vibaya kuleta balaa,
Chuki na ukabila zaturudisha nyuma,
Haifai, Haifai iyee eeh eeh.

Tunaomba utusikizee, sisi wakenya kutoka kotee x2

Nipe amani, nipe amani, nipe amani ili tuishi pamoja x2

pamoja, pamoja, pamoja tuishi pamoja (repeat)

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.