Here are The Lyrics Of Niinue By Sara Kiarie
Courtesy Of Africa Gospel Lyrics
Mbeleni naendelea,
Ninazidi kutembea
Maombi uyasikie
Ee Bwana unipandishe
Ee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe
Sina tamaa ni nikae
Mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa
Kuendelea naomba
Nisikae dunianiNi mahali pa shetani
Natazamia mbiguni
Nitafika kwa imani
(Chorus)
Nataka nipandishwe juu
Zaidi ya le mawingu
Nitaomba nifikishwe
Ee Bwana unipandishe
(Repeat)
(Chorus)