Categories
News

Here Are The Lyrics Of Napenda By Christina Shusho

Read and sing along

 

Napenda nione ukinitendea 
Napenda nione ukininbariki 
Napenda nione ukiniinua 
Kila kitu kwako mimi napenda 
Napenda nione ukiniponya
Napenda nione ukinifariji
Napenda nione ukiniinua 
Kila kitu kwako Bwana mimi napenda 
(repeat)

Chorus:
Napenda napenda, kila kitu kwako mimi napenda
Napenda O napenda, Kila kitokacho kwako mimi napenda

Yesu we napenda, mambo yako napenda

(Chorus)

Napenda neno lako 
Napenda hekima zako 
Napenda sifa zako Yesu 
Kila kitu kwako mimi napenda 
Napenda hukumu zako
Napenda huruma zako 
Napenda rehema zako 
Kila kitokacho kwako mimi napenda 

Mfalme nakupenda
Habari zako nazipenda 

(Chorus)

Napenda utawala wako
Napenda ahadi zako 
Napenda njia zako Yesu 
Na mafudisho yako, na ukarimu wako 

(Chorus)

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.