Categories
Lyrics

Lyrics : Testimony By Kenn Eddy Krezi

Here is the lyrics of Testimony by Kenn Eddy Krezi.

kenn eddy krezi new 1

TESTIMONY

Kenn Eddy krezi cheki vile Christ anadrive me crazy eheeee
As I worship in Sheng in truth & in spirit

Verse one
Baba mwenye huwanga juu Ka dot kwa small I
Hallowed be thy name juu wewe ndo uko high
Uliamua tu ku use this small I
You see even my soul si Ka my small eye

Tender age of six ndo nilianza kuvaa jeans
At the age of nine ehhe tungekuwaje virgins
Haunting me on twenties ooh imagine
Am still young in life bado niko kwa margin
Badala ya kubrowse nikikumia Microsoft
Umeamua nishike mic na roho soft
Nimewacha story ya weezy-leather so soft
Nikaanza kupiga mbizi-weather so hot
Heri nikuwe chini ya maji nipiganiwe na marmaids
Badala juu ya maji kupiganiwa na bar maids
Mascandals kibao za kupatwa na ma maids
Ninafocus on Jesus coz this is what am made
On my tears nilienda kwa loo si far
Niko captured na devil yaani lucifer
Releaved by God ninampea tu sifa
Nikaweka Wanga,shiro na Lucy far
Mpe Caesar cha Caesar,
God hawezi kupa gizzard ukimuitisha pizza
Wacha kwanza mchezo wa kuingiza kwa Giza
Utajazwa useme ni Deya mtoto miujiza

CHORUS
God has turned my test..into testimony
God has turned my mess..into message
He has turned my press..into pressing on
That’s why am praising God

Verse two
Stafeel niko high Ka msee amekunywa amarula
Narepresent aliye high on earth so I am a ruler
Napray my ways ziwe straight Ka edge ya ruler
Niko addicted to Christian camps na siyo mulla
Wakishinda December waki windeck windeck
Nitasoma my Bible kila weekend weekend
Nisiwe wicked me Kenn
Though an evicted evicted
I know am addicted addicted addicted
2nd coming ya Christ imekaribia
Na bado uko kwa barnumecarry beer
Si ati ni raha ninakuharibia
Heaven gates ziko open so hurry pia
Niliamua with my life I do stewardship
Hata Kama nilipata hiyo stew na hardship
Natafuna nyama ya kondoo ninachew hard sheep
Najua vitu za devil huwa ni few and cheap
Chorus

Bridge
Don’t think you are nothing,
Don’t think you are everything,
Know you are something,
And you can achieve anything..

Verse three
Ka NPC churches si Christ ndiyo the answer
Simple Ka ABC classes si anaponya cancer
Na yeye me ni success nitadrive hata Lancer
Na life nitalife nitalive long siyo short Ka kinyasa
As I take some sprite to quench thirst in me
I can do all things through Christ who strengthens me

CHORUS
BRIDGE

Young Kenyan & Saved

Categories
News

Lyrics : Young Kenyan And Saved By Kenn Eddy Krezi

This is a single of  his debut album titled “YOUNG KENYAN & SAVED. He wrote this song after the experience he had with the violence that shook his world and cost Kenn Eddy Krezi his friends after the 2007 elections.

As he puts it :

“I hope that it will open your eyes to the fact that we are all human and we need to relate as our brothers keeper.I hope we will not judge one another by where we come from,tribes and looks but by the content of our individual characters.I really fight tribalism through this and urge the youths to vote wisely.”

kenneddykrezi

Here Are The Lyrics of the Song

KENN EDDY KREZI CHEKI VILE CHRIST ANA DRIVE ME CRAZY

Oh God of all creation,bless this our land and nation,
justice be our shield,and defender still,may we dwell in unity peace and liberty,
vita mimi sitaki…

Verse One

mi nataka kupaspire
kama weapon ya sapphire

with ma talent kuinspre
before niwahi kuexpire
kama lazima nioe wangu kabila
si afadhali kuchoose kukaa bila
niite mpotovu nimekana mila
na me si kipofu ni,nimekana me la!
if my vybes can tell thar Raila ananiowe dinga
then you are my mr and i am the miss o Jesus
maji hayazoleki yakiwagika tu
manzi haoleki tena akishamarryka tu
si tukuwe cooperative tukibankika tu
badala kuwa operating tukibangika tu
tuko ever ready na tuna power ya paka
kunyolewa dready na hiyo panga ya kaka
tunawekeana curfew why lemme tell em
nifike home saa mbili kwani me ni hellen

Chorus
Am young kenyan and saved,so what can i say,
mimi kijana mi mkenya nimeokoka mzeiya*2

Verse two
kila mtu barcelona world iko messy
hatupendi Man U tunalaumu nani?
hakuna real kuhusu madreadi
na God ni mmoja protector of us and all
manze youths tunapigana
wako used kunywa picana
abused kama vijana
am used na ganji bana
promised for a job huko house of manji
na uko used kuchotea watu kwa houses maji
utarise bila haraka i know its tragic
ukitaka kujibleach bro si please utry jik
naenda Thika na road inazidi kuwa thicker
na nina imani nina God mi nitafika
hata life ikiproove kuwa hard tu
sitasema ati me i cant tu
juu uwe cushite nilote ama bantu
ukifika hell ni lazima utaburn tu

chorus

verse three
zitaendeshwa na nani ka si sisi
tutaombewa na mapastor hata kasisis
tutashinda tukilia oh kazi zi
curse hizi taswizi italeta wizi
from my God ndiyo my talent nilioacquire
na nina imba hata kama si kwa choir
very active ikifika ni campfire
juu ndani ya God nilicamp thats why am on fire
kupigana mabare ka Lucy Kibaki
kununua mkate na loose ikibaki
mbona wewe umkate na hauhusiki basi
na unalipwa tu rwabe na haushuki pasi
unahander msee na gun unaicork kwa collar
unamjaza gas kama soda ya cocacolla
youths tuko alive you cannot burry us
tunavuka border yaani barriers

chorus
Anthem

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.