Categories
Lyrics

Here Is The Lyrics Of “Just A Way” By Kaberere And Mr Vee

Here Are The Lyrics Of Just Away By Kaberere And Mr Vee

 

Still Alive

mr vee kaberere

Verse 1

From The First Day I Met You, Sijawahi Lala Njaa Umenishugulikia

From The First Day I Met You , Sijalala Na Kiu Umekuwa Maji Ya Uzima

From The First Day I Met You, Sijapigwa Na Baridi Blanketi Umenipa

First Day I Met You, Umenipenda Na Mambo Yangu Mengi

Aa Ulinipenda Kwanza Kabla Nikujue Eee

Ulinipenda Kwanza Kabla Nikupende Eee

Nilipokujua Hapo Nikatambua Milele Nitakuinua

Pendo Lake Sure Nami Na Amua Nitakupenda Pia

CHORUS

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

Verse 2

Adui Wewe Umekua Kizuizi Maishani

Adui Wewe Wataka Nikose Mimi Taji Ya Uzima

Adui Wewe, Ulishindwa Miaka Iliyopita aaa

Kalivari Aliposema Yamekwisha

Eloi Eloi Lama Sabachthani

Mawe Walitupa Mate Kukutemea

Pia Mkuki Ubavuni Maji Yakamwagika

Damu Ulivuja Ilinipate Uzima Uzima Uuu

Chorus

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

Verse 3

It is A Way , A Way For Me To Show You I Love You (I Love You)

Oooh Nakupenda Wewe Baba

Ninjia Yangu Yakusema Asante

Chorus

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

It is Just A Way

A Way To Show How Much I Love You

Ni Njia Ya Kusema Jinsi Mimi Ninavyokupenda

End

It Is Just A Way, Ni Njia Ya Kusema

 

 

 

 

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.