Categories
Lyrics

Lyrics Of “Nataka Nimjue” By Christina Shusho

Shusho thumb

Here Are The Lyrics Of Nataka Nimjue By Christina Shusho

Nataka Nimjue

Nataka Nimjue ee

Mimi Nataka Nimjue

Mwenzenu Nataka Nimjue Oo Yesu Ooh Yesu Ooh YesuWee

Halleluhya

Chorus

Nataka Nimjue

Mimi Nataka Nimjue

Huyu Yesu Wee

Zaidi Nataka Nimjue

Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2

 

Verse 1

I thought I Knew You Already Lakini Nimegundua Bado Ee

The More I Go Deep Ndio Natambua Bado Sijakujua

Mbona Surprise Surprise Kila Leo Wee

Style Lililo Jana Sikama Ya Leo Wee

Matendo Uliyotenda Jana Mbona Si Ya Leo

Everyday Surprise Surprise Surprise Ooh

Nataka Nimjue

Mimi Nataka Nimjue

Zaidi Nataka Nimjue

Nimeona Alivyofuta Machozi Pale Sikama Hapa

Mbona Alivyotembelea Nyumba Ile Si Kama Kwangu

Na Vile Alivyonisemesha Jana Si Kama Leo

Ishara Nilizo ziona Jana Si Kama Za Leo

Mgonjwa Alivyo  Mponya Jana Si Kama Huyu Wa Leo

Mara Huyu Jitwike Godoro Lako Uende Mara Imani Yako Imekuponya.

Mimi Nataka Nimjue

Mwenzenu Nataka Nimjue

Zaidi Nataka Nimjue , Nimjue

Chorus

Nataka Nimjue 

Mimi Nataka Nimjue

Huyu Yesu Wee

Zaidi Nataka Nimjue

Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2

Verse 2

Eeh Mungu Kumbe Jina Lako Jingine Wewe Waitwa Rejected

Ukitegwa Na Jamii Wewe Ujue Hiyo Ni Ishara Yake

Ukiona Mawimbi Yamezidi Usiogope Yuko Ndani Ya Boat

Mungu Hajachoshwa Nawe Anampango Na Wewe

Usikate Tamaa Usirudi Nyuma Anampango Na Wee

Jangwa Unalopitia Kumbe Anampango Na Wee

Maumivu Unayosikia Anatengeza Chombo Kipya

Adui Unawaona Leo Kamwe Hutawaona Tena.

Eeh Nataka Nimjue

Mimi Nataka Nimjue

Zaidi Nataka Nimjue

Kumbuka Mawazo Ya Mungu Si Kama Yetu ee

Wala Akili Zake Si Kama Zetu Wee

Si Mpango Wa Mungu Hata Mmoja Apotee

Aliporuhusu Jaribu Hilo Alijua Unaweza

Ujue Jicho Lako Lalingana Na Imani Yako

The Greater Your Test, The Greater Your Testimony

Eeeh Mi Nataka Nimjue Eeeh

Nataka Nimjue Mwanaume Huyu

Ambaye Hata Upepo Na Bahari Zinamtii

Nataka Nimjue

Zaidi Nataka Nimjue ,Nimjue, Nimjue Yesu

Chorus

Nataka Nimjue ( Nimjue Bwana)

Mimi Nataka Nimjue (Mwenzenu Nataka Nimjue  Yesu)

Huyu Yesu Wee

Zaidi Nataka Nimjue

(Moyo Wangu Watamani)

Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2

 

Nataka Nimjue, Yesuuu

Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu

 

Nataka Nimjue

Mimi Nataka Nimjue

Huyu Yesu Wee

Zaidi Nataka Nimjue (Zaidi Zaidi)

Mwenzenu Nataka Nimjue Bwana Wangu x2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.