Categories
Lyrics

Lyrics Of Asusu By Dk Kwenye Beat

Below are the lyrics of Asusu By Dk Kwenye Beat

DK Kwenye Beat

Dk Kwenye Beat Asusu Wee

Chorus

Asusu, Asusu, Mungu yupo Asusu
Asusu, Asusu, usilie, Asusu 
Asusu we, Asusu we yoyoyoyo

Verse 1

Siku njema asubuhi na mapema 
Tayari kwenda kazi Asusu msela
Ambia jamii kama kawa baadaye
Hakujua ndiyo mwisho kuwaona hai 
Siku ya kisa elfu mbili na tisa 
Jan 28 mwendo wa saa tisa 
Alipokea simu harakisha,
Bibi na binti kwa hali ya kutatanisha 
Ndivyo jamii iliteketea 
Nakumatt Downtown hawakuokolewa
Kweli Mungu ulimkosea
Mbona kukubali haya kumtokea?

Chorus

Asusu, Asusu, Mungu yupo Asusu
Asusu, Asusu, usilie, Asusu 
Asusu we, Asusu we yoyoyoyo

Verse 2

Ilistahili kufanya upasuaji 
Shida ya pili hakuwa na ganji 
Church ilikubali kumfanyia harambee 
Tarehe 13 siku ya Sunday 
Ghafla tu katikati ya ibada 
Majambazi, kama watu 17 
Kawavamia, wakawaibia 
Mchango ya Asusu ikafagiliwa 
Harambee ikapotea na upepo 
Manze hata kama ni mapepo 
Aisee anapitia mateso Asusu 

Chorus

Asusu, Asusu, Mungu yupo Asusu
Asusu, Asusu, usilie, Asusu 
Asusu we, Asusu we yoyoyoyo

Bridge:
Kilio kinadumu usiku 
Asubuhi ni Furaha 
Jipe moyo Asusu 

 Lyrics by Africangospellyrics.com
Categories
Kenya Gospel Industry Kenya Gospel Music Kenya Gospel News

“Asusu” Video By Dk Kwenye Beat Hits 150,000 Views In A Month

Asusu Asusu Usilie Asusu.. This is the hook of the new song by Dk Kwenye Beat which was meant to inspire the heart broken and also the ones who have lost hope in life.

DK Kwenye Beat

 

The song made news when the first press release was done by most media as DK Kwenye Beat had for once turned from rapper to singer. Now the song has touched the hearts of many since the release a month ago and looking at the fact that the country was in a mourning state due to Westgate Massacre.

GOD bless Dk Kwenye Beat in his new single as it has also hit top charts on Radio and  we pray it continue to minister more and more.

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.