Most of us have seen the video of Juliani’s new Song “Utawala” with Kenyans which talks about bad leadership. Bad leadership has been a trending story in our country and also our contintent Africa as bad Leaders take advantage to misuse public resources.
He also released a lyrics of the video and we decide to share with you. Here is the video and lyrics.
Lyrics
Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa
hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busa ama kettle ya shisha
Mfuko unasikia echo
utajua thamani ya mali na size ya kifuli
hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for
unaeza argue crime doesn’t pay lakini huezi dismiss justice ina bei
mwizi ana fourty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter
Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora waione kwa currency
sababu gani siko affected na turbulance nikifly angani
nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani
CHORUS:Niko njaaa hata siezi karanga
hoehae shaghala bhaghala niko tayari kulipa gharama
sitasimamaa maovu yakitawala sitasimama maovu yakitawala
Ufisadi, ibinafsi ukabila
kuuza sura wataki kuuza sera
Undugu nikufaana
sitasimama maovu yakitawala siatasimama maovu yakitawala
Ndio wa raise funds itabidi u raise hands
growing concerns
breakfast za croissants
hatutaki upunguze bei ya bidhaa
tunataka opportunities ndio tu afford hizo bidhaa
walisema kutembea kwingi ndio kuona mengi
nimeshinda nikitembea ma ofisi nasijawai ona kazi
siezi cheza Golf venye tiger would
mambo si bara bara chin wu
Naomba journey mercies chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani
Policeman anapiga rungu mwalimu, daktari anamrushia teargas
na mtoto wake anarudishwa nyumbani hana school fees analipwa peanuts.
CHORUS. http://youtu.be/Xh9Ux7WH2KE
Sewer za state house na latrine za ghetto ziupatana Nairobi river
No more nita live by hand to mouth
ushawai sikia maskini anaugua gout
Nikiwa na nguvu ya kung’oa reli definately kuinua kura si nzito ukiingiza kwa ballot box
chagua kiongozi wa kweli
Moha, John Allan Namu jicho pevu wakianika mkono refu inapick pocket wanyonge
Navaa mask ka goal keeper wa Hockey waezi ni kerubo
Kenya ni kama Boxing hakuna sub
work with what we have.
gud one 4 kenyans I lv it real gud one.
I hv neva liked juliani songs bt this one….. its a nice song…. I jst luv it.
…….Naomba journey mercies chakula ifike tumboni ikitoka kwa sahani……………….
whoever wrote this lyric needs to edit punctuation,you cant follow juliani using it. 🙂
This track rocks…. So much sence it has.
loveeeeeeeeeee it
KABICHA
Luv the song.
Iko juu niaje..
Song zake zote znakuanga poa
I love the song…makes a lot of sense. Big up Juliani!
me LOVE dis ngoma, congrats bro!
i lyk thiz song..
Ann Natasha reminds me of mtaa mentality
ts just awsam!
Is a very Nolstagic song. Gives us a large picture of a lifetime. Love It.
thumbs up juliani…
Awesome!
Poa sana…mandugu ni kufaana si kufanana!
reasonable lyrics
Juliani, u hav come up as a prominent kenyan artiste wid meaningful reasonable lyrics! ths song rings in ma mind everyday as i reflect on wats happening in our society…God bless u man
Maovu yakitawala should be replaced with “Waovu” wakitawala. Lakini, nani aliwapatia hao waovu, wauaji, mahabusu wa kimataifa wadhifa wa kututawala? si ni sisi? mtu asiimbe huu wimbo kama ali-rubberstamp utawala tulionao. Tuanzie juu kukataa utawala mbaya na watawala wambaya. Tusi-expect anything better kutoka kwa watuhumiwa wa jinai. jiulize kwa nini tangu waingie tumekuwa nchi ya kutoka crisis to crisis…. maovu tuliyaunga mkono, tutaishi nao mpaka tuseme kama Juliani… “sitasimama maovu takitawala.
good one Juliani…….God bless you more
iza budahhhhhhh.