Categories
Widget 4

“Nizae Matunda Kwa Majira Yake” : Lyrics Of “Matunda” By Eunice Njeri, Lady Bee & Rebbeca Soki

Sio kwangu, sio kwangu, sio kwangu

Utukufu wote ukurudie wewe
Bwana nataka nikae kandokando ya maji 
Kisima kisicho nyauka Bwana ninywe kwako

Nikiimba Yesu, utukufu ukurudie wewe

Nikisali Bwana, maombi yangu uyasikie
Majira yakija Yesu, nizae matunda
Sikia ombi langu, leo naomba

Chorus:
Nizae matunda, kwa majira yake 
Nisinyauke, nitendalo nifanikiwe

Ulisema nikikaa ndani yako
Na neno lako ndani yangu
Chochote nitakacho Baba, utanipa 
Ishara ya mi mfuasi wako, uzao wa matunda yangu
Mzabibu wa kweli, nami ni matawi
Nikiwa ndani yako nawe ndani yangu nitazaa matunda
Nihubiri injili, ona nikuimbie
Nikikusemasema Yesu, mbegu yangu kwako

(Chorus)

Mti usiozaa matunda hukatwa na kutupwa motoni
Ee Yesu ninyunyuzie maji
Nisinyauke niyazae matunda
Oh Yesu unijaze nguvu, lazima niyazae matunda
Nobota bambo bangayo ya molimo mosantu Yesu na ngai

(Chorus)

Bridge:
U mzabibu wa kweli
Umenichagua nizae matunda 
Nisipozaa matunda, imani yangu yangu ni bure
Ni bure

Chorus:
Nitendalo nifanikiwe

Leave your vote

By Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.