Sing along to the lovely lyrics of great worship singer Sarah K’s new jam ” Yupo”.
Refrain:
Yupo (He’s here) x8
Upo upako wa ajabu; humu
Upo utulivu angani
Njooni kwake Yesu, ni muweza
Atawatuliza, maana yupo
Refrain:
Yupo, yupo
Avunjae nyila zote
Na kubeba mizigo mizito
Yupo, yupo, Kurejesha tumaini
Kuwainua wanyonge
Njooni nyote, kabidhini mizigo zenu
Atawabebea, maana yupo
Mbona mwakawia kuja kwake?
Neema kuu ipo, ya ajabu
Njooni kwake sasa, msihofu
Mtamwona leo, maana yupo (Repeat)
(Refrain)