Categories
Widget 1

Lyrics: Ni Wewe By Janet Otieno

Ni wewe which means “Its You” is a song dedicated to GOD for his amazing Grace upon her life. Watch the new video directed by J Blessing and sing along to the lyrics.

 

Refrain:
Kila kitu changu ni wewe
Ninaye mwimbia, ni wewe
Maishani mwangu, nimeamua ni wewe

Mi nimeshangazwa na matendo yako Baba
Ulivyonichukua na kunitunza kama wako
Sa mi ni wako, Kwangu kwako
Ukanipenda, ukaniita mwana wako

Chorus

Juu, chini, kushoto kulia
Sijamwona kama wewe
Sa mi ni wako, Kwangu kwako
Ukanipenda, ukaniita mwana wako

Naomba uniweke kwako ndani 
Niwe imara kama milima Zayuni 
Hauta anguka kukiwa na mawimbi 
Wala kutikiswa kukiwa na adui 
Kila kitu ni wewe 

Refrain:
Kila kitu changu ni wewe 
Ninaye mwimbia, ni wewe 
Maishani mwangu, nimeamua ni wewe

Mi nimeshangazwa na matendo yako Baba
Ulivyonichukua na kunitunza kama wako 
Sa mi ni wako, Kwangu kwako 
Ukanipenda, ukaniita mwana wako 

Chorus

Juu, chini, kushoto kulia 
Sijamwona kama wewe
Sa mi ni wako, Kwangu kwako 
Ukanipenda, ukaniita mwana wako

Leave your vote

By Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.