Categories
Kenya Gospel Music Kenya Gospel News Lyrics

Lyrics Alert!! Nibariki By Rosy Ohon

Here are the lyrics of Nibariki by Rosy Ohon.

 

Nibariki, nibariki 
Nibariki Baba leo, nibariki (Repeat)

Baba naomba, leo unibariki 
Sitatoka hapa, mpaka unibariki
Nahitaji baraka zako 
Ndio naomba unibariki 
Sina mwingine, wa kunibariki 
Ila ni wewe, Baba yangu 

 

Baba naomba,leo uniguse 
Nitabadilika, na uguso wako 
Shusha nguvu zako, ee Baba uniguse
Hakuna mwingine wa kunigusa
Ila ni wewe Bwana wangu 

Nuguse, niguse 
Niguse Baba leo, Niguse  (Repeat)

Baba naomba leo uniponye 
Nahitaji uponyaji wako, Baba unisikie
Ona machozi yangu, ee baba uniponye 
Hakuna mwingine wa kuniponya 
Ila ni wewe Bwana wangu

Niponye, niponye 
Niponye, Baba leo, niponye  (Repeat)

Leave your vote

By Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.