Categories
Gospel Lyrics Lyrics Music

Lyrics of ‘I DO’ by Willy Paul and Alaine

Lyrics of I DO by Willy Paul and Alaine

Love is a beautiful thing created by God
He who finds a wife finds a good thing.

Teddy B play willy paul and alaine some saxophone
sawa happy day.

Poze poze poze is in love ! X 2
Hello baby, si unajua siku kuu ni leo

Hello baby, si unajua siku yetu leo
Hello baby, si unajua nakuoa leo
Hello baby, ile keki twaikata leo
Hello baby, baby , baby
wewe ndio sweet pie
we ndio nyama choma
my sweet angel
my oxygen oh

Say yes i do (Yes I do)
baby baby yes i do (Yes I do)
(Say yes i do (Yes I do)
baby baby yes i do (Yes I do)
(Say yes i do (Yes I do)
baby baby yes i do (Yes I do)
(yes i, yes i, yes i do
baby baby yes i do, aah) x2

Nimekubali mwito wako,
tena sitolaugh at you
vile ulikubali mwito wangu,
nikafall love with you

hello baby,
i will need to spent my life with you,
baby, yes i wanna be your wife,
but i can only tell you yes,
in my heart i had a lover *dreamer like you yet
baby take my finger put a ring on it,
i thank God for our love , baby , baby

wewe ndio sweet pie
we ndio nyama choma
and my sweet angel
my oxygen oh
you are sweet pie
apple of my heart
my sweet angel
my oxygen oh
(Say yes i do (Yes I do)
baby baby yes i do (Yes I do)) x3

(yes i, yes i, yes i do
baby baby yes i do, aah) x2
i used to lie to myself
That i have always be your player just like dbanj
when i saw you,my heart *keeps to beat and my whole life changed baby
you are sweet pie
apple of my heart
my sweet angel
my oxygen yoh

(yes i do (Yes I do)
baby baby yes i do (Yes I do)
do do do do do do (Yes I do)
yes yes i do (Yes i do)
do do do do do do (Yes I do)
do do do do do do (I do)
(yes i, yes i, yes i do
baby baby yes i do, aah) x2

Categories
Gospel Lyrics Music

Here are the Lyrics of Nichukue By Mercy Masika

Below is the lyrics of Nichukue by Mercy Masika

Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
.
.
verse 1
Nikiwa nawe kama mwalimu,
ninajua nitahitimu,
nitashinda adui, akileta majaribu
unitayarishe, unibadilishe,
mtihani nipite, mwito nitimize,
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako
.
.
[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
.

verse 2
Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi,
wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali,
unifunze mipango, wote niwaheshimu,
Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako

.
[refrain]

Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
+

Categories
Gospel Lyrics

Lyrics : Mkono Wa Bwana by Mercy Masika

Mkono Wa Bwana Si Mfupi Wala Sikio Lake Si Nzito Kuskia

mercy

Watch Lyric Video by Mercy Masika below :

wu wu wu wu wu wu wu wu wu         [wu wu wu wu wu wu wu wu wu]
la la la la la la la la  la la la,               [la la la la la la la la  la la la]

umeomba sana – ah                          [you’ve prayed for long]
umehangaika sana                           [you’ve been in trouble for long]
umengoja sana, ila majibu huoni,      [you’ve waited for long, with no answers]
nyuma mbele,kwa marafiki hutoshi,   [back front, at friend’s you cant get enough]

[REFRAIN]:

(usife moyo Mungu hayuko busy        [don’t give up, the Lord is not busy]
ana mpango mwema juu yako) X2      [He has a good plan for you]
hakika mkono wa bwana si mfupi     [For sure, Lord’s hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia          [nor His ear too deaf to hear]
mkono wa bwana si mfupi                [His hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia          [nor His ear too deaf to hear]

VERSE 2:

Ahadi zake ni kweli                          [His promises are true]
njia zake sio kama mwanadamu       [His ways aren’t like human’s]
akili zake ziko juu,                          [His intelligence is better]
hatufikii sisi wanadamu                  [we can’t be like Him]
tulia, tulia na baba                         [feel at comfort, feel at comfort with the LORD]

[REFRAIN]:

(tusife moyo Mungu hayuko busy      [Let’s not give up, the Lord is not busy]
ana mpango mwema juu yetu) X2      [He has a good plan for us]
hakika mkono wa bwana si mfupi,    [For sure, Lord’s hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,         [nor His ear too deaf to hear]
mkono wa bwana si mfupi,               [His hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,         [nor His ear too deaf to hear]


aleluya ni mwaminifu                      [halleluyah He’s faithful]

[REFRAIN]:

hakika mkono wa bwana si mfupi,    [For sure, Lord’s hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,        [nor His ear too deaf to hear]
mkono wa bwana si mfupi,              [His hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,        [nor His ear too deaf to hear]
mkono wa bwana si mfupi,              [Lord’s hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,        [nor His ear too deaf to hear]
mkono wa bwana si mfupi,              [His hand is not short]
wala sikio lake si nzito kusikia,        [nor His ear too deaf to hear]

 

Ad Blocker Detected!

Please disable ad blocker to read our stories for Free

Refresh

Log In

Or with username:

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.